Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

Hawa wanawake waliopo humu Duniani unaweza kufanya mambo mawili, aidha uachane nao[abstain] au ushee na wenzako.
 
Ni mpito tu, ukikua utaona mambo ya kawaida hawara yako kut………mbwa nje na wewe
 
Mie [HASHTAG]#DumeSuluari[/HASHTAG] wala hiyo hainipi shida maana nilishatambua ukitaka wako peke ako nenda kachonge mgomba.
Always I play win win situation mzee.
 
tyar hpo mkuu... ila km wampnda we bakinae tu... ila tayar
 
mkuu kizuri kula na mwenzio... sema wewe akija tumia condom kula mzigo wako kwa furaha usiwaze baada ya hapo we mwache aende dar aje huku wamtafune vizuri tu huku wewe ukiendelea kujiweka pembeni kiaina
Punguza wenge dear
 
Hyo kitu huwezi kula mwenyewe aisee na hv haionyeshi hata iliweje jikaze tu
 
Kwani hata kama amechapwa walibandua hiyo K si ipo na wewe utachapa cha ajabu ni kipi? kiungo hicho kipo tu walichapa, ukachapa, wanachapa na watachapa
 
DAAH HAPO HAIITAJI AKILI NYINGI KUJUA UMECHAPIWA TENA KWA STAIL ZOTE SASA FANYA HIVI KWA VILE MIMI NIPO DAR WEWE NIPE NAMBA YAKE YA SIMU NA KWAKUWA UMESEMA NI MKALI BASI HATUNA BUDI KUSAIDIANA MATATIZO BROTHER🙂😵
 
Duh, sasa kama yupo JF na amesoma hii post si atakuwa ameng,amua kila kitu...coz umedadavua sana kiasi anayehusika ataelewa tu.

Kurudi kwenye mada, yote yanawezekana...huenda baada ya wewe kukataa takwa lake naye akatafuta namna ya kukurusha roho ili siku nyingine ujifunze anapokuambia ukamchukue..na kama ndivyo basi lengo lake limetimia maana mpaka akili imekuruka.

Pole, ila fanya utafiti polepole tu.
 
BORA UACHE KAZI UJE NAE DAR HOMIE MAANA HUKU HATAZIMA SIMU KINACHOFATA NI ATAONGA SIMU NA LAINI KABISA🙂
 
Back
Top Bottom