Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

mkuu kizuri kula na mwenzio... sema wewe akija tumia condom kula mzigo wako kwa furaha usiwaze baada ya hapo we mwache aende dar aje huku wamtafune vizuri tu huku wewe ukiendelea kujiweka pembeni kiaina
daaaah asante kwa ushauri mkuu
 
Mi ndo nimemuita Dar, na nitakua nae kwa muda wa week mbili. Mbona mi roho hainiumi anavyokuja kwako alale siku tatu??? Hainaga makombo hiyo, kila mtu anakula kwa muda wake
 
Mnunulie power bank alafu ndiyo umulize mbona ulizima simu...
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani iweje ww utangaze
 
Hacheni mambo ya kitoto, kwanza ulimkuta na bikira?
Unadhani simu yake hauwezi kuwa busy kwa sababu yako, usiweke kwenye mazingira ya kujiumiza moyo kwa mambo usiyo na uhakika nayo.
Ukiwa na mke/mpenzi jipange kisaikolojia kukubali kitakachotokea mbele ya safari.
Kweli Ndoa ni taasisi ya vipofu.
 
Mkuu ombea uwe umechapiwa na mtu asiejua show, ila kama aliemchapa demu wako ni "fundi kitandani" basi hilo litakua ni zoezi endelevu
 
mapenz yanahitaji muda wa kuchezea sasa si ulikuwa hauna muda wa kwenda kumchukua tatzo nini.? waache wenye muda wafanyeeeee
 
Pole sana mkuu hebu nipe na mm number yake nijaribu kumuhuliza taratibu huenda tutapata ukweli
 
Waambie huko ofisini wakuongezee majukumu. It seems umepungukiwa kazi, unaanza kuwaza vitu usivyo na control navyo.

The pu!!y is hers, she decides who to share with.
 
Alaaa..!!? Ulivyokuwa unawasifia kumbe umeopoa wa Greenbird?
 
Waambie huko ofisini wakuongezee majukumu. It seems umepungukiwa kazi, unaanza kuwaza vitu usivyo na control navyo.

The pu!!y is hers, she decides who to share with.
Icho cha mwisho nicho nathikia... she decides who to share with..
 
Back
Top Bottom