Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Mkuu hapo pana tatizo, amekwisha olewa yeye ni mke wa mtu sasa, na kumgusa mke wa mtu ni dhambi kubwa. Tafuta mwingine wa kwako. By the way ... umesema "uliyempenda kwa dhati", kama ulimpenda kwa dhati mbona kaolewa na mwingine? Je, Yeye pia alikupenda kwa dhati? No, hapo pana shida mkuu, kama alikupenda kwa dhati pia asingeolewa na mtu mwingine. Epuka sana upendo wa upande mmoja.ebwana katika watu wenye maakili humu naona wewe ndio nambari moja. asante sana kwa ushauri. ila mwana ebu nikuulize sasa ikitokea yule niliyompenda kwa dhati kashaolewa inakuwaje sasa?
Wanawake wapo wengi sana, utampata mwingine mtakayependana kwa dhati, na ukimpata, oa, usifanye "uasherati".