Mimi naitwa halidi niko Moshi nafanya kazi voda

Mimi naitwa halidi niko Moshi nafanya kazi voda

Mtu kama huyu akichangia uharo si wanamkamata vzr utajitambulishaje kirahisi hivo?
hata mimi niko vizuri sio wamchezo mchezo hata namba naweza kuwapa najiamin siwezi vuruga katiba yangu nahata ikitoke nikaongea ukweli kama nina udhibitisho siogopi hata chembe wewe jiite hata nyau me naitwa Halidi
 
Back
Top Bottom