Hii ni kwasababu ukioa mwanamke mwenye watoto kuanzia 2 basi unajua kabisa toka mwanzo kwamba umeoa mke wa mtu hivyo unaishi kitaalamu.
Na kama mmewe amefariki basi unakuwa una uhakika zaidi maana anakuwa na heshima sana pia anajua nini maisha yanataka
ILA
Hawa wenye mtoto mmoja huwa wanahisi bado mabinti au bado wana options nyingi kwenye mahusiano na kiburi juu. Mwanzo ukimpokea huwa na heshima sana kiasi unaweza Sema umeoa Malaika ila ukiwawezesha kidogo na mifumo ikasomana baaaasi umekwisha chap wanarudi kwa mabwana zao waliowatelekeza kwa kisingizio eti hawataki kuchanganya watoto.
Hawa ndio wanachafua profile za ma single mothers na ndio wanaongoza kujiuza kimkakati na wana vizinga balaa.
Na kwenye kuomba omba nadhani wanawazidi Matonya wa Dodoma.
Jamani badilikeni