Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo
Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo,
Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya Bagamoyo pekee ina 81% ya wananchi wote waliopata chanjo ya korona
Kwa idadi ya wananchi wanaoishi katika wilaya ya Bagamoyo, inasadikiwa kuwa, ni kati ya Watu 300+k
Sasa ukichukua 81% ya Idadi ya wakaazi wa Bagamoyo, maana yake Bagamoyo pekee imeweza kutoa chanjo ya watu karibu robo tatu ya wananchi wote waliochanja nchi nzima kwa takwimu za kitaifa
Kwa maana,Takwimu za Taifa zinasoma ni kati ya watu 400+ K ndio waliopata chanjo, nchi nzima, maana yake, idadi ya waliochoma chanjo hao, ni 240k wanatoka Bagamoyo pekee, kiasi ambacho mimi naona si kweli!
Vinginevyo mh mbunge awe aliteleza