ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimeshaishi kila maisha Kama Ni mizigo nimepiga sana vyombo vya kila aina japo napenda maisha ya kuishi chaka mbele huko.nilipokuwa Ni ma home boy nakuja town nafanya mambo na Wana mchango wa mafuta hatukai kizembe.dont worry kaa kwa kitulia maneno hajajengi.