Mimi Napenda mno kusoma

Mimi Napenda mno kusoma

Hingera mleta mada, haukosi mengi mazuri yanayo panua upeo .


Nafikiri tulikua sawa kabla maisha hayajaingiliana , kipindi kile tupo shule wenzangu wakienda break mi nabaki darasani na kitabu changu haswa biblia haswa kitabu hiki
file_00000000405471f89c8a08940663b19f.png
 
Hingera mleta mada, haukosi mengi mazuri yanayo panua upeo .


Nafikiri tulikua sawa kabla maisha hayajaingiliana , kipindi kile tupo shule wenzangu wakienda break mi nabaki darasani na kitabu changu haswa biblia haswa kitabu hikiView attachment 3593414
Nilikisoma Enzi hizo
We ni mlutheri?
 
Back
Top Bottom