Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
-
- #81
Zamani hukoUkute unapenda kusoma hadithi za chombezo kitandani.
Nipe hadithi za zamani ? Ukisoma androko na simba na kitabu cha sincerely?Zamani huko
Namaliza vitabu vya akina kiyosaki,Stacy,Rhonda bhryne,Napoleon hill na wengineo siwakumbuki majina
ππ Zinauzwa msikitini babyBiblia nasoma sana..shida ni kupata hardcopy sijui hata zinauzwa wapi
πππ Ntaenda kumuuliza imam sh ngapi kwanza Kisha nirudi kujichangaππ Zinauzwa msikitini baby
Mhh sikujui hiko..Nipe hadithi za zamani ? Ukisoma androko na simba na kitabu cha sincerely?
Lindu ampiga kampilima je?Mhh sikujui hiko..
Nikitulia na umakini..Naenda vizuri tuduh! izo kurasa 10 mm nitaaziandika siku 5 au wiki kabisa ila kusoma no ploblem nateleza tu
Leta vya dodoma nijaaribuUmeshajaribu au nikuletee vya Dodoma π
Sio bei.. 25,000 tu ( agano la kale na jipyaπππ Ntaenda kumuuliza imam sh ngapi kwanza Kisha nirudi kujichanga
Alc 8 au 13 πLeta vya dodoma nijaaribu
HapanaLindu ampiga kampilima je?
Chilunda apambama na chui?Hapana
unatafuta majini wewe ππππ Ntaenda kumuuliza imam sh ngapi kwanza Kisha nirudi kujichanga
Mi najua maduka yapo ilala na kkoo tu.huku mpaka uingie kanisani.Sio bei.. 25,000 tu ( agano la kale na jipya
mi hata sijui nichagulie yoyoteAlc 8 au 13 π
Sawa mkuuUshugulishe ubongo kwenye kuvumbua vitu
HapanaChilunda apambama na chui?
Chunguza na maua?Hapana