Mimi natafuta mchumba nipo serious

Ambao hawatafuti ndio walitakiwa waandike hivi
 
Hizi sifa ilitakiwa umwambie Mungu ukiwa unasali fanya hivi kwa wiki moja au mwezi hutojutia
 

kwaiyo walokole hawatambuliki
 
nina vigezo vyote.. nipe namba inbox

mim msukuma wa mwanza
 
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Mwanaume mwenye miaka 32-40 ambaye hajawahi kupata mtoto kokote lazima awe mzubavu au ana tatizo la kibaiolojia/kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…