Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Kwa nini wasema hivi Mkuu ?Mnajiaibisha nyie wadada[emoji20]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini wasema hivi Mkuu ?Mnajiaibisha nyie wadada[emoji20]
Ambao hawatafuti ndio walitakiwa waandike hiviKweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
Eti mwambieHahaha,msaidie mwenzio huyo kutafuta mchumba
Hatujiabishi hata kidogo kuliko ufe presha bora u andike hivi mzamza unakuwa kweli wewe anbaye unajiheshimu unavilembweMnajiaibisha nyie wadada😞
Hizi sifa ilitakiwa umwambie Mungu ukiwa unasali fanya hivi kwa wiki moja au mwezi hutojutiaKweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
Unaona sasa nisingetoa tangazoo nisingepata ushauri nitamwambiaHizi sifa ilitakiwa umwambie Mungu ukiwa unasali fanya hivi kwa wiki moja au mwezi hutojutia
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
nina vigezo vyote.. nipe namba inboxKweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
KwaniniMnajiaibisha nyie wadada😞
Hujaelewa, Anataka mtu aliye Arusha au awe anaweza kuhamia Arusha.Amenifurahisha tu anataka Mu Arusha.
Mengine acha apambane mwenyewe.
Aahhh kumbe.Hujaelewa, Anataka mtu aliye Arusha au awe anaweza kuhamia Arusha.
Tusiokuwa Mahand some tunacoment wapi??
Vipi kuhusu vibamia!Ameshasema hapoo juu HATAKI MDOMO KALALE.
We jmaaa umenifanya nicheke kwa sautiVipi kuhusu vibamia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilimuona mmoja mwenye hizo sifa,ila sasa yuko mbali kwelikweli,mbinguniii huko ndani ndani
Mwanaume mwenye miaka 32-40 ambaye hajawahi kupata mtoto kokote lazima awe mzubavu au ana tatizo la kibaiolojia/kisaikolojiaAwe 32 -40