Mimi nataka kujua kitu kimoja na nataka nijibiwe sio kishabiki naomba nijibiwe kwa akili timam za mtu mwenye akili timamu.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
1.kibu denis alisajilikuwa Simba kama raia au mchezaji wa kigeni???

2..je kama alisajiliwa kama mgeni kutoka nchi Gani ??

3.. Je kama alisajiliwa kama raia inamaana Simba walisajili mchezaji ambaye sio raia wa apa lakini wakamsajili kama raia ???

4 ...nataka kujua kapewa uraia kwani alikuwa raia wa nchi Gani ???

5..je kama Simba ilimsajili kama mgeni na Sasa kapewa uraia inamaana Simba itaongeza wachezaji wa kigeni ??

Naomba ujibu kama unajua kweli usijibu kishabiki tu apa wakati ujui chochote sawa jaman

Jibu maswali kama unaakili timamu [emoji120][emoji120]
 
Maswali yako yamekaa kiushabiki, Kibu hakuanza kuchezea Simba kwani alikuwa Geita baadae akachezea mbeya city Cha ajabu maswali yako yanahoji kuhusu Simba badala ya kuanzia timu za nyuma
 
Waulize TFF na SIMBA sisi wengine ni mashabiki tu kama ulivyo wewe wa Kidimbwi FC usiporidhika nenda UT au CAS kama kawaida yenu
 
Maswali yako yamekaa kiushabiki, Kibu hakuanza kuchezea Simba kwani alikuwa Geita baadae akachezea mbeya city Cha ajabu maswali yako yanahoji kuhusu Simba badala ya kuanzia timu za nyuma
Ndipo shutuma ilipoanzia. Yaani mwizi kwakuwa kaiba hukooo hakukamatwa akikatwa aachwe tu kwakuwa alishaiba huko kwingine
 
Wazazi wake walitoroka vita DRC mwaka 1998 akiwa na miaka 6.

Hivyo maisha yake yote ni Hapa TZ, japo kwa sheria za uraia yeye hakuwa raia kwa sababu wazazi wake ni waCongo.

Haya mambo yako Sana mikoa ya pembezoni mwa nchi.
 
Maswali yako yamekaa kiushabiki, Kibu hakuanza kuchezea Simba kwani alikuwa Geita baadae akachezea mbeya city Cha ajabu maswali yako yanahoji kuhusu Simba badala ya kuanzia timu za nyuma
Yani muujiza mwenyewe kashindwa kuuliza maswali kwa akili alafu anataka ajibiwe kwa akili inashangaza!?
 
Maswali yenyewe hayako timamu yamekaa kishabiki halafu unataka ujibiwe na watu wenye akili timamu, usitusumbue
 
1.kibu denis alisajilikuwa Simba kama raia au mchezaji wa kigeni???

2..je kama alisajiliwa kama mgeni kutoka nchi Gani ??

3.. Je kama alisajiliwa kama raia inamaana Simba walisajili mchezaji ambaye sio raia wa apa lakini
TFF na wadau wengine hawakuwa wanajua km hakuwa mtanzania so kote alipopita ilikua hvyo hadi hapo ilipokuja kufahamika so zikachukuliwa hatua zinazostahili mi sioni ht haja ya kulikuza as if kulikua na njama vile! simba wenyew walimsAJILI TOKA mbeya city ambao nao walimtoa timu nyngne hapahapa tz kote uko alikuwa km mchezaji mzawa sa simba au TFF wangejuaje?
 
Hii ishu inawavua nguo uhamiaji na TFF, haiingii akilini mchezaji achezee timu kibao mwanzoni na mpaka timu ya taifa kaichezea halafu leo unaambiwa kapewa uraia wa utanzania. Bora hata wangelitatua kimya kimya lisingeleta mjadala. Ila hili la kupewa rasmi uraia. Inatia shaka sana utendaji kazi wa TFF na uhamiaji pia.
 
Kibu aliingia nchini na wazazi wake wakikimbia machafuko uko Mashariki ya DRC Kongo akiwa na miaka sita. Taarifa za Uhamiaji na mashirika ya kuhifadhi wakimbizi ndivyo zinavyo sema. Sasa kwajinsi gani aliweza kupenya kutoka kwenye makambi ya wakimbizi na kufikia kusajiwa na Geita na Mbeya City akisajiliwa Kama Mtanzania apo ndipo ilipo shughuli.
Kwa ujumla kunataratibu zili kiukwa ndio maana Mambo yamekuja kufahamika pale alipo sajiliwa na timu Kubwa.
 
mkuu umeweka kaushabiki pembeni Leo umeongea vizur sana .... hata Mimi naona kuna mahala hizi mamlaka zilichemka kidogo.
 
Ukipata majibu hapa unapeleka tena kule kwa page yako Isntagram[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maswali yako yamekaa kiushabiki, Kibu hakuanza kuchezea Simba kwani alikuwa Geita baadae akachezea mbeya city Cha ajabu maswali yako yanahoji kuhusu Simba badala ya kuanzia timu za nyuma
Maswali ya kizalendo sio kishabiki...
 
Wazazi wake walitoroka vita DRC mwaka 1998 akiwa na miaka 6.

Hivyo maisha yake yote ni Hapa TZ, japo kwa sheria za uraia yeye hakuwa raia kwa sababu wazazi wake ni waCongo.

Haya mambo yako Sana mikoa ya pembezoni mwa nchi.
kwa hiyo ana miaka 29???sijui umri wa passport utaonyesha ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…