Mimi naunga mkono Tozo kwa watanzania na iongezwe

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Wengi wanaolialia kuhusu Tozo lukuki wameichagua CCM na wanaishabikia wakuidhani wanaikomoa CHADEMA.

Na muhimiza huyo Mwigulu azidishe tozo aongeze zaidi ya maradufu asiishie hapo tu atoze watu kodi hadi wanapotoka majumbani mwao.

No mercy. Watu wakila mlo mara moja kila baada ya siku tatu yatosha.

CHADEMA Ndo inaturudisha nyuma kimaendeleo.

Watanzania wanajitakia na kustahili kuishi maisha magumu na ya dhiki ni haki Yao kuishi hivyo.

Nyaunyie!
 
Si mpaka awenacho hicho kibarua? humu majobles Saaa hizi ndio tunapiga soga kupunguza ukali wa maisha.
Na kweli walio na vibarua vyao washalala ili waviwahi keshoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†shida ni sisi walalamikia tuzo huku kwa melo
AiseeeeeπŸ˜†
 
Na kweli walio na vibarua vyao washalala ili waviwahi keshoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†shida ni sisi walalamikia tuzo huku kwa melo
AiseeeeeπŸ˜†
Yani wewe baniani anakusubili asubuhi akakusulubu utapata wapi jeuri ya kuwa online saa hizi?

Hapa tupo wajanja wajanja tu full magumashi.
 
Yani wewe baniani anakusubili asubuhi akakusulubu utapata wapi jeuri ya kuwa online saa hizi?

Hapa tupo wajanja wajanja tu full magumashi.
Na huku Mama nae anakusubiria,akukate tozo kwenye kamshahara kako uliopewa na baniani! Life is not fair sometimes!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga tu.
 
Na bado tozo ya kunya, ukienda chooni kunya unalipa tozo
 
Week hii TOZO itawekwa kwenye "Female pads"
 
Yani wewe baniani anakusubili asubuhi akakusulubu utapata wapi jeuri ya kuwa online saa hizi?

Hapa tupo wajanja wajanja tu full magumashi.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…