Uko siko mkuu nawasiwasi na wwNshajipima
Kwani wee ni mmoja wao?
Sio vizur hivo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hata mtu haulizi mara mbili kama wewe kichaa
Huwaona wenzie kama vichaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huu utafitiiiii na ule wa 1%...............Kapime tu Kwanza mkuu kwani hata kichaa naye hajijui kuwa ni kichaa
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] duhMi nnakua kichaa pale 2 napolewa sana.....mfano juz nmepgana na wa2 100 kidogo disco...c ukichaa huo...
Kwa mujibi wa watafiti ina maana kila kwenye comment 4 za huu uzi moja ni ya kichaa..Baada ya kuwaza kwa sauti. napingana na hawa watafiti eti tunawaza kwa 1% tu. wengine watafiti wengine tena wamekuja juzi apa, Kati ya watanzania 4 mmoja ni Kichaa
Mimi Hapana jamani
Mimi nawaza sana
Mi sii Kichaa
Siko kwenye category yeyote ya vichaa
Labda nyie wenzangu humu
Watanzania tukatae watafiti hawa wanaotutukana kisailensa
Weka neno la Kukataa tafiti za kututukana
Wakafanyie Ulaya huko kwa vichaa wanaotaka mashoga
Wazungu ambao ndo wanaoongoza kwa vichaa na watumiaji wengi wa madawa ya kulevya sisi no
Sii vichaa
Tunajua kuwaza