Mimi nawaza kwa akili zangu kwa 100% Mi sii Kichaa, sijui wewe

Mimi nawaza kwa akili zangu kwa 100% Mi sii Kichaa, sijui wewe

it sounds like you are... but mmmh! waswahili wanasema kichaa si lzm aokote makopo!
 
Kapime tu Kwanza mkuu kwani hata kichaa naye hajijui kuwa ni kichaa
Huwaona wenzie kama vichaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huu utafitiiiii na ule wa 1%...............
 
Kichaa utamjua kwa mawazo yake. Humu ndani nimegundua pia kuwa kuna vichaa wengi sana
 
Mi nnakua kichaa pale 2 napolewa sana.....mfano juz nmepgana na wa2 100 kidogo disco...c ukichaa huo...
 
Mi nnakua kichaa pale 2 napolewa sana.....mfano juz nmepgana na wa2 100 kidogo disco...c ukichaa huo...
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] duh
Mkuu kuwa makuni ukikutana na watalamu wa ngumi hurudi ata na jino 1 nyumbani
 
Baada ya kuwaza kwa sauti. napingana na hawa watafiti eti tunawaza kwa 1% tu. wengine watafiti wengine tena wamekuja juzi apa, Kati ya watanzania 4 mmoja ni Kichaa
Mimi Hapana jamani
Mimi nawaza sana
Mi sii Kichaa
Siko kwenye category yeyote ya vichaa
Labda nyie wenzangu humu
Watanzania tukatae watafiti hawa wanaotutukana kisailensa
Weka neno la Kukataa tafiti za kututukana
Wakafanyie Ulaya huko kwa vichaa wanaotaka mashoga
Wazungu ambao ndo wanaoongoza kwa vichaa na watumiaji wengi wa madawa ya kulevya sisi no
Sii vichaa
Tunajua kuwaza
Kwa mujibi wa watafiti ina maana kila kwenye comment 4 za huu uzi moja ni ya kichaa..
 
Back
Top Bottom