Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
He!Karibu Cheche hapa JF!Habari wana JF hasa wa Jukwaa la Siasa,Nawapenda wooote!
Cheche Mtungi!
Cheche Mtungi?bado hujanisoma tu?Narudia Cheche Mtungi!Sijaelewa kabisa, we ndo nani vile?
Karibu sana jf ila mmmmmmmhhhhhh hilo jina lako vp unapenda sana mitungi au?Habari wana JF hasa wa Jukwaa la Siasa,Nawapenda wooote!
Cheche Mtungi!
Usijali mlinde sana Dada yako,mwambie Cheche Mtungi ameingia JF!Karibu Kicheche Mtungini!!
Narudia tena Cheche Mtungi!Sijaelewa kabisa, we ndo nani vile?
Zaidi yako,kwani mambo mitikasi yangu unaionaje?nawe n grt thnkr?
Wanakusalimia sana,karibu sana!Bi. Nusura na Lulu hawajambo Mr. Cheche Mtungi?
Narudia mwambia Dada yako Cheche Mtungi kaingia JF!karibu sana,ila usituharibie mabinti umu
Mitungi tuuu?na yale mambo yetuu je?Karibu sana jf ila mmmmmmmhhhhhh hilo jina lako vp unapenda sana mitungi au?
Mwenyewe kabisa!Mmmh!!! Ni wewe kweli!!!!?????
Ahsante Muungwana!Karibu Cheche Mtungi.
Usipite,mmi naomba tukutane hapa mara nyingi!Karibu.
Nakukaribisha kwa kuwa mimi pia ni mwana JF, japo napitaga tu 'Jukwaa la Siasa'.
Aiseeeee basi we ni noumaaa na si mchezo,karibu sana tulisongeshe hili gurudumu la jf.Usijali mlinde sana Dada yako,mwambie Cheche Mtungi ameingia JF!
Narudia tena Cheche Mtungi!
Zaidi yako,kwani mambo mitikasi yangu unaionaje?
Wanakusalimia sana,karibu sana!
Narudia mwambia Dada yako Cheche Mtungi kaingia JF!
Mitungi tuuu?na yale mambo yetuu je?
Mwenyewe kabisa!
Ahsante Muungwana!
Usipite,mmi naomba tukutane hapa mara nyingi!
Haha haha hhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Mimi ndio Cheche Mtungi,hujambo lakini?Na hio ndio JF!Aiseeeee basi we ni noumaaa na si mchezo,karibu sana tulisongeshe hili gurudumu la jf.
Ndo hivyo kakake hii ndo jf ukisikia nyingine ujue hiyo imekopi na kupaste,mie mzimaaaa wa afya tele.Haha haha hhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Mimi ndio Cheche Mtungi,hujambo lakini?Na hio ndio JF!