Mimi ndio Mr Cheche Mtungi!

Mimi ndio Mr Cheche Mtungi!

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
771
Habari wana JF hasa wa Jukwaa la Siasa,Nawapenda wooote!
Cheche Mtungi!
 
So?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bi. Nusura na Lulu hawajambo Mr. Cheche Mtungi?
 
karibu sana,ila usituharibie mabinti umu
 
Karibu.
Nakukaribisha kwa kuwa mimi pia ni mwana JF, japo napitaga tu 'Jukwaa la Siasa'.
 
Karibu Kicheche Mtungini!!
Usijali mlinde sana Dada yako,mwambie Cheche Mtungi ameingia JF!

Sijaelewa kabisa, we ndo nani vile?
Narudia tena Cheche Mtungi!

nawe n grt thnkr?
Zaidi yako,kwani mambo mitikasi yangu unaionaje?

Bi. Nusura na Lulu hawajambo Mr. Cheche Mtungi?
Wanakusalimia sana,karibu sana!

karibu sana,ila usituharibie mabinti umu
Narudia mwambia Dada yako Cheche Mtungi kaingia JF!

Karibu sana jf ila mmmmmmmhhhhhh hilo jina lako vp unapenda sana mitungi au?
Mitungi tuuu?na yale mambo yetuu je?

Mmmh!!! Ni wewe kweli!!!!?????
Mwenyewe kabisa!

Ahsante Muungwana!

Karibu.
Nakukaribisha kwa kuwa mimi pia ni mwana JF, japo napitaga tu 'Jukwaa la Siasa'.
Usipite,mmi naomba tukutane hapa mara nyingi!
 
Usijali mlinde sana Dada yako,mwambie Cheche Mtungi ameingia JF!

Narudia tena Cheche Mtungi!

Zaidi yako,kwani mambo mitikasi yangu unaionaje?

Wanakusalimia sana,karibu sana!

Narudia mwambia Dada yako Cheche Mtungi kaingia JF!

Mitungi tuuu?na yale mambo yetuu je?

Mwenyewe kabisa!

Ahsante Muungwana!

Usipite,mmi naomba tukutane hapa mara nyingi!
Aiseeeee basi we ni noumaaa na si mchezo,karibu sana tulisongeshe hili gurudumu la jf.
 
Aiseeeee basi we ni noumaaa na si mchezo,karibu sana tulisongeshe hili gurudumu la jf.
Haha haha hhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Mimi ndio Cheche Mtungi,hujambo lakini?Na hio ndio JF!
 
Haha haha hhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Mimi ndio Cheche Mtungi,hujambo lakini?Na hio ndio JF!
Ndo hivyo kakake hii ndo jf ukisikia nyingine ujue hiyo imekopi na kupaste,mie mzimaaaa wa afya tele.
 
Back
Top Bottom