Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

Pole sana mkuu, sisi binadamu tunatabia ya kusahau tulipotoka,hatuna shukran na kuto kuwa proud na watu waliofanya ufike mahali fulan.

Usivunjike moyo endelea kuwasaidia na wengine pale inapobid na unapo msaidia mtu ww msaidie tu usiwe na expectations zozote. Kama unaye msaidia atatambua umuhimu wako kwa namna yoyote atajitahid alipe fadhira
 
Mambo mangapi unafanya ya kuweka Rehani maisha yako? Ni ukimwi tu ndio unaua? Unaendesha gari huku unatumia cm! Unavuka Barbara kila Siku! Kuna kitu inaitwa homa ya ini, umewahi kusikia vizuri habari yake? Maisha yetu sisi watu weusi ni Mungu tu ndio anatupigania!

Ukimwi ungekua tishio kiasi hicho wote tungetangulia mbele za haki! Kwanza unaweza ukatumia condom halafu mkeo anato.mb.wa nje huko bila condom then wewe hujui lolote, akija akikumanulia unatumbukiza tu bila condom! Ni Mungu tu anatulinda Bro! Ukimwi hata kwa kinyozi unapatikana! Open your eyes!
 
Wewe endelea kuwababua bila kondom. After all it is your private life.
 
Kaka hakuna msada mdogo, msada ni msada hata kama uwe na masimango angekua na uwezo asinge uomba kwako, hayo yote nivisingizio tu vya mtu kua na roho mbaya......
 
Una MA ya Human Resources ila bahati mbaya hujui kutambua haiba ya mtu. Ungekuwa curious na mwangalifu kwa watu ungepunguza hizo shida. Vilevile usipende kujitoa kupitiliza
Mkuu ni kweli ila hilo halina connection na education level yangu, nilisomea vitu vingine sio sociology au psychology ya watu......nashukuru kwa ushauri mzuri
 
Kaka hakuna msada mdogo, msada ni msada hata kama uwe na masimango angekua na uwezo asinge uomba kwako, hayo yote nivisingizio tu vya mtu kua na roho mbaya......
Ni kweli kaka ila unapomsaidia mtu jitahidi usiambatane na manyanyaso mkuu! Nakwambia sababu nimekua na nimeshuhudia hilo kwa baadhi ya ndugu! Mtu anataka asujudiwe wee kama Mesiah kwa sababu anakunufaisha kwa kitu flani hio halipendezi duniani mpaka mbinguni. Kimsingi anakusaidia ila sasa kwa mwanaume kuwa na attitude hio haipendezi hili tumezoea wake za hao watu ndio huwa wanyanyasaji ila ikiwa ndugu mwenyewe ndio unakuwa na calibre hio sio swala la kujivunia!
 
Binafsi mtu akinisaidia hata kwa masimango siachi kutoa shukrani. Sijui nipoje..
Inapendeza mkuu na ni vema kushukuru kwa kila jambo! Binafsi pia huwa nashukuru kwa msaada ila experience ambayo nimepitia during huo msaada wako ina matter sana kwangu in how our future relation will be!
 
Mkuu hilo ilikua "delibate mistake' not 'accidental mistake' ndo maana nime omba Mungu anisamahe, alio sababisha hayo yote nimke wangu kama ni nuksi aliilete yeye, asinge nitenga nisinge fanya hicho kitendo
 

Mkuu ninaamini unawapenda watoto wako sana,amini kwamba fadhila ulizotoa ni hazina kwa watoto wako huko mbeleni kutoka kwa Mungu. Nikupe mfano hai,mimi marehemu Mzee wako japo alikuwa mtumishi wa serikali aliishi maisha ya kawaida kuliko,ila aliwasaidia watu wengi sana. Sisi nyumbani wamepita na kuishi watu wengi tena mazingira yakiwa madogo kwa kujibana. Ila leo hii mkuu japo sijafanikiwa kushika pesa,ila kuna changamoto nazipita nikiamini ni Mungu ananivusha. Mimi siyo mtu wa kusali sana lakini nazivuka,hata ndugu zangu wa kuzaliwa wanazivuka,kuna siku nikakumbuka jinsi mzee aliishi na watu nikaamini tunalipwa sisi kama watoto. Sasa basi wewe saidia bila kujali utalipwaje na ikiwezekana pass that habit to your kids,na hii ndiyo namna tunavyopaswa kuishi katika hii Dunia.
 
Ukweli ni kwamba sijawahi kunyanyasa au kubaguwa mtoto wa ndg eti kwasababu na mpa msada.

Ni watoto zaidi ya tano walisoma shule moja na wanangu wanapanda school bus moja wanalala chumba kimoja hata majirani wengi paka leo hawajui watoto wangu hasa ni yupi, hata watoto wangu hawakujua kama hao ni 'cuisine brothers' en sister wa lidhani ni wa Mama tofauti, masimango manyanyaso huo mda sinaga, kwanza ili iweje? ni pate nini? Katika makuzi na kutafuta maisha nimeka na watu tofauti tofauti hilo kosa la kunyanyasa siwezi kulifanya.
 
Now you are talking my brotha! I wish you good mzee ndio tunatakiwa tuishi hivyo
 
Mie nasaidia ila siangalii shukrani hata siku moja na nachojua ni kwamba kila jambo linatokea kwa wakati wake na la leo na kesho ni tofauti. Nikishamaliza kukusaidia naendelea na yangu kama uta appreciate kimoyo moyo kivyako.

Maisha haya ni kupambana na hali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…