Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

Katika vyote ulivyoandika hakuna jambo jipya...

Unapotenda wema, jaribu kupunguza au kuondoa kabisa matarajio ya kujereshewa shukrani iwayo kwa mfumo wowote, ndio maana kuna msemo "tenda wema nenda zako"...

Mtenda wema hulipwa na Maulana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hilo ilikua "delibate mistake' not 'accidental mistake' ndo maana nime omba Mungu anisamahe, alio sababisha hayo yote nimke wangu kama ni nuksi aliilete yeye, asinge nitenga nisinge fanya hicho kitendo
Kwanza nakusifu kwa kua huna jazba.
Kaa na mkeo kwa akili. Mfinyange kisaikolojia mpaka akae kwa mstari, kamwe usiwaachie kina Dada wa saluni wamfinyange. Saluni kunaongelewa utopolo mwingi wa kutisha Ni zaidi ya kitchen party.
 
Acha kukariri mzee usijifanye mlokole san hakuna life bila mistake na hakuna mistake bila life hiyo yote ni mipango ya Muumba alaf unaongea maneno ya kitoto san ww ndio mtu makini!!!leo kwake kesho kwako ndio maan kafunguka ili kila mtu ajifunze pia
Una jazba Kama nduguyai.
Kutembea na mwanamke wa nje bila kondom Ni mipango ya Muumba? Ndio Gwajima anavyokufundisha?
 
Acha unafki Wana Wana biashara kubwa na wanatembea nje ya ndoa iyo no Imani yako ww
Umenena vyema Ila nakuhakikishia wako njia moja kuelekea kufilisika.
Kutembea nje ya ndoa Ni moja ya Mambo yanayotela laana kubwa sana.
Laana hiyo sawa na Ile ya kumla mtu tiGO awe ke au meeh.
Hata wanasiasa waliotembea nje hasa na wake za watu mwisho wao umekua mbaya sana.
Anza na mbunge wako wa enzi zile. Yuko wapi sasa
 
samehe saba mara sabibi
Yes, umenena mkuu!
Formula ya kusamehe tulishakubaliana ni 7×70.
Huyu jamaa yeye amekua kibiashara/uwezo. Lakini anapingana na formula za kawaida kbs ktk maisha: atapata taabu sana!
Vyote alivyoeleza ndo maisha yetu yalivyo, eti yeye hajui na anaona ni usaliti mkubwa,!! Ajabu....! Huyu vitimbi vya wanawake ataviweza kweli?!!
Na bado anawatie bila cndom!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jama umetisha huenda una uzoefu wa kutosha na hao wa dudu (wanawake) ila nikipaji tu wanawake na Ndg wavuruga maisha usipo kua makini sanaa
 
Yes, umenena mkuu!
Formula ya kusamehe tulishakubaliana ni 7×70.
Huyu jamaa yeye amekua kibiashara/uwezo. Lakini anapingana na formula za kawaida kbs ktk maisha: atapata taabu sana!
Vyote alivyoeleza ndo maisha yetu yalivyo, eti yeye hajui na anaona ni usaliti mkubwa,!! Ajabu....! Huyu vitimbi vya wanawake ataviweza kweli?!!
Na bado anawatie bila cndom!
Usitembee na mwanamke nje
Ukishindwa kabisa tumia kondom vinginevyo utasingiziwa mimba alizopewa na machinga.
 
Imebidi kwanza nicheke[emoji16][emoji16][emoji16]

Ndugu wana mambo ya ajabu sana sana...

Btw mkuu jifunze kujipenda mwenyewe, binadamu hana maana[emoji848]

Toka nimeligundua hili la kujipenda nina raha ya moyo na nafsi..be selfish, huumii hata kidogo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mke ni lishamrudia ila kanifanyia visa vingi sina mapenzi nae tena japo nimesharudi barabarani vuzuri ila instinct yangu ya ndani inamkata ila kumdvorce ni expensive kuliko kuka nae, kwahiyo naka nae kimkakati sasa hivi kalala yeye mimi niko sembuleni na chat saa 7 na nusu [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wamekukimbia kwa sababu huna hela mkuu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu sio kwamba nilifilisika kabisa hapana, pamoja na biashara kushuka hawa kuweza kunifikia hata robo, wengi bado ni wajiliwa wanapokea mishahara yao ya kawaida 500k kwa 800k........tembo hata hakikonda hawezi kuligana na gombe, ni roho mbaya tu za ndg wetu.
 
Piga chini hao...masikini ana roho mbaya, na wivu

Jipende

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Duh Pole sana... cha msingi acha kuwafikiria umeshajifunza kwa sasa fanya mambo yako tu.
 
Hujakoma tu, ngoja mtu aje akufie kwenye gari ndo utajua kuwa hujui[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Mkuu unaacha kutoa lift kisa mtu atakufia kwenye gari? What if ndiyo ulikuwa unaokoa uhai wake? Mtazamo wangu kama kitu unakifanya at utmost good faith hata Mungu atakulinda. Jitahidi sana uwe unachuma baraka kutoka kwa watu, it worth a thousand times kuliko hata nguvu na akili tunazotumia kutafuta maisha.
 
Back
Top Bottom