Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

True

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Sijui kwanini nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanasemaga tenda wema nenda zako, kama huwezi ni heri uwe mchoyo tu
 
Hivi nyir wenye magari why huwa hamtoi lift? Wity nijibu.
Waomba lift ni wadokozi, masharti, kuchafua kapeti, akijamba mtatafutana (circulation ya oxygen ndogo), kuongea sana, na hilo la kuzima ndani ya gari....kubwa lao ni kubamiza milango kwa nguvu ( inaharibika ila hawajui)

NB
Najua una gari sasa nasema uwongo ndugu yangu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
We mwenyewe unaroho ya usaliti mbona umemsaliti mke wako tena zaidi ya mara moja
 
Mimi formula yangu ni moja tu sina pesa,sina hela,mambo magumu,hali ni tete hata nikimiliki bilioni mwendo ndio huo huo hadi siku ya mwisho ya kuishi hapa Duniani sitaki masihara na hela,ukitaka pesa kwangu tufanye issue ili tupate pesa tugawane kinyume na hapo sina hela
 
Mie niwe mkweli kila navyoenda mihangaikoni najikuta natoa lift ila mostly wanawake na wanafunzi na wanafunzi wakifika napoish unawaon kbs wanasubiri lift...najiogopeaga kumpa lift mwanaume!sema kipindi cha mvua wanachafua sana kapeti ..bt mie sijali !
Hii ya kubebaga wagonjwa kuna jiran alichafua gar alikua anaenda kujifungua ! Jamaa alizira mwezi mzima😇eti kinyaa🤭
 
Mimi natamani kuwa kama wewe..jamani mie hadi hubby ananuna ! Najikuta napata nafuu rohoni nikimpa mhitaji..unawezaje? Mimi napenda sana kutoa .bt sjisikii vby! Ila nahis nimezidi
 
Hagai 1 .5 Bwana anasema hivi zitafakari nia zako na mrudie Mungu utaona baraka zako
 
Dah, huu mtihani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…