Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Inferiority complex, Amiri jeshi gani huyo muuaji.....Amiri jeshi mkuu anavizia wananchi wasio na hatia na kuwateka usiku????? Hana cha uamiri jeshi ukuu zaidi ya mwizi na jambazi yeye na mwanae Abdul na wapumbavu wengine akina Kitila Mkumbo, Lukuvi, Butiku, Kabudi Palamagamba, Nape na wengineo walioamua kusaliti watanzania wenzao.Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”???
Rais anaielewa vyema hiyo hadhi anayojitanabaisha nayo kila wakati? Au mahali hapa ndipo tatizo la elimu mbalimbali linapoanzia? Au ndo tatizo la bahati ya kuokota dodo chini ya mnazi wa Mwakinyo? Le Campee??
Ninavyoelewa mimi Amiri Jeshi ni Amiri Jeshi tu hakuna cha Mkuu wala Mdogo. Sasa yeye anavyojimwambafy vile ni kama vile majirani zangu Wahaya wanavyosema “new model mpya”🧐🧐
Haya tuamke tuwahi kwenye maandamano ya kam-peni
Thank you!Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.
Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Ukiona hivyo kisaikolojia ujue uumo ndani kuna mtifuano hatari means kuna double orders zinatoka zikikidhana..Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”???
Bi Mkubwa anaielewa vyema hiyo hadhi anayojitanabaisha nayo kila wakati? Au mahali hapa ndipo tatizo la elimu mbalimbali linapoanzia? Au ndo tatizo la bahati kama kuokota dodo chini ya mnazi wa Mwakinyo? Le Campee??
Ninavyoelewa mimi Amiri Jeshi ni Amiri Jeshi tu hakuna cha Mkuu wala Mdogo. Sasa yeye anavyojimwambafy vile ni kama vile majirani zangu Wahaya wanavyosema “new model mpya”🧐🧐
Haya tuamke tuwahi kwenye maandamano ya kam-peni
Mwisho wa hayo yote ni mwezi huu.Tz tuna bahati mbaya tu au laana? Viongozi gani hawa tunapata
Bora hata tungempa nchi Mwenyekiti Mangungu, walau angetuvusha. Ila siyo huyu maza. Anaenda kutuzamisha kwenye shimo lenye kina kirefu aisee.Tz tuna bahati mbaya tu au laana? Viongozi gani hawa tunapata