Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
- Thread starter
- #21
Kilaza kama huyo bibi yako🚮🚮🚮🚮Ndivyo inavyotamkwa "Amiri Jeshi Mkuu" sasa kama hutaki toka hiyo tarehe 29 uandamane
Kilaza kama huyo bibi yako🚮🚮🚮🚮Ndivyo inavyotamkwa "Amiri Jeshi Mkuu" sasa kama hutaki toka hiyo tarehe 29 uandamane
Nyumbu weKilaza kama huyo bibi yako🚮🚮🚮🚮
Hajiamini ,alipata bahati ya mtende kuotea jangwani.Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”???
Bi Mkubwa anaielewa vyema hiyo hadhi anayojitanabaisha nayo kila wakati? Au mahali hapa ndipo tatizo la elimu mbalimbali linapoanzia?
Ninavyoelewa mimi Amiri Jeshi ni Amiri Jeshi tu hakuna cha Mkuu wala Mdogo. Hiyo hadhi “Amiri Jeshi” inajitosheleza. Haihitaji kuongeza kitu kinachoitwa “Mkuu”. Sasa yeye huyu “bahati mbaya” anavyojimwambafy vile ni kama vile majirani zangu Wahaya wanavyosema “new model mpya”🧐🧐
Haya tuamke tuwahi kwenye maandamano ya kam-peni
She's just a coward.Inferiority complex, Amiri jeshi gani huyo muuaji.....Amiri jeshi mkuu anavizia wananchi wasio na hatia na kuwateka usiku????? Hana cha uamiri jeshi ukuu zaidi ya mwizi na jambazi yeye na mwanae Abdul na wapumbavu wengine akina Kitila Mkumbo, Lukuvi, Butiku, Kabudi Palamagamba, Nape na wengineo walioamua kusaliti watanzania wenzao.