“Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”: Hivi kuna Amiri Jeshi Mdogo??

Ukiona mshua nyumbani anatamba kwamba yeye ndiye Boss wa mji wote hakuna mwingine hapo elewa tatizo tayari tena kubwa
 
mimi sina shida na Umirijeshi mkuu wake kwa hiyo kama yeye ndo Amirijeshi Mkuu anajua watekaji vizuri sana anajua waliomchukua Polepole Je Madagascar hakukua na Amirijeshi Mkuu?
 
Hajiamini ,alipata bahati ya mtende kuotea jangwani.
 
She's just a coward.
 
Huyo bibi kashachanganyikiwa, hata hizo hela za wizi hawana raha nazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…