mimi ndiye bukoba boy wa youtube


Kwani ile Clip ulioiletaga kipindi kile ya Bishanga kafumaniwa na yule mdada Joy wa Tabata, ndiyo huyuhuyu Paloma? Au ni miamala miwili tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Uongo, umetumia teknolojia ya kuwabambikizia watu sura kama ulivyofanya kule Youtube.
Kwanza ikianza tu inasikika sauti ya MIKE, halafu sound haipo quality.
Camera yako ni ya Megapixle 5, so hao uliowataja walikua wanajua kua wanarekodiwa????
 
habari zako zote ninazo mimi. usipo kuwa makini ntakuanika hapa. naongea na wewe Shark. mia
 
Last edited by a moderator:
Kausha bana, nawe hutaniwi Mkuu wangu figganigga?
Mambo ya kumwaga Kuku kwenye mchele wengi noma kaka!!

poa yako sitaiweka. baadala yake ntaweka ya Donn alivyo kuwa anachumwa bila kujitambua. mia
 
Last edited by a moderator:
poa yako sitaiweka. baadala yake ntaweka ya Donn alivyo kuwa anachumwa bila kujitambua. mia

Dah,
Ahsante sana mkuu, maana sikujua kama ile skendo yangu unaijua, ile ingeniharibia sana hapa jamvini.
 

poa tu! Itakuwa vizuri wale wenzangu na mie wagezee! But jiandae as nitakusue as all rights are reserved!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…