mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Ghafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai??
Chama ambacho hakina mbunge hata mmoja kiseme labda wanapata luzuku ili kufanikisha hilo
Tanzania aliyetuloga, anatutesa sana, hatuwezi kufahamu hata hujuma za wazi zilizosukwa chini ya chama Tawala, fedha zinazotumika ili kukisuka hiki chama, kwa namna hiyo hiyo, pesa hizo zinashindwaje kuifanya Tanzania kuwa na uchaguzi wa danganya toto?
Zitto na wengine wote wenye kujielewa, mkiamua kupoteza tena miaka mitano ijayo kama mlivyokaa zaidi ya miaka kumi nje ya ulingo kuipigania nchi yenu kwa kukataa hizi rafu za uchaguzi?
Ieleweke hivi, iwapo CCM imeamua kwa dhati kutengeneza upinzani feki, enyi wana CUF, UDP, ACT na wengineo, tegemeeni hasara tupu kwenye uchaguzi huu, hamtapata chochote
Mlale unono