mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Bora tule ubwabwa kuliko kushabikia puppets wa wazunguGhafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai??
Tanzania aliyetuloga, anatutesa sana, hatuwezi kufahamu hata hujuma za wazi zilizosukwa chini ya chama Tawala, fedha zinazotumika ili kukisuka hiki chama, kwa namna hiyo hiyo, pesa hizo zinashindwaje kuifanya Tanzania kuwa na uchaguzi wa danganya toto?
Zitto na wengine wote wenye kujielewa, mkiamua kupoteza tena miaka mitano ijayo kama mlivyokaa zaidi ya miaka kumi nje ya ulingo kuipigania nchi yenu kwa kukataa hizi rafu za uchaguzi?
Ieleweke hivi, uwapo CCM imeamua kwa dhati kutengeneza upinzani feki, enyi wana CUF, UDP, ACT na wengineo, tegemeeni hasara tupu kwenye uchaguzi huu
Mlale unono
Kwa nini umeandika kimakosa na ukakaa hivo bila editing?Hakuna binadamu mwenye akili nzuri anaweza kuungana na Tundu
La reforms mkuu, ni chap na kwa harakaHili linatekelezeka kweli hapa Tanzania?
Kama kweli watu watajitokeza kuunga mkono ushenzi huu unaoongozwa na wahuni CCM basi maneno ya mzee kenyata kwamba Taifa hili lina maiti yaani wafu wanaotembea yatatimia.Ghafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai??
Chama ambacho hakina mbunge hata mmoja kiseme labda wanapata luzuku ili kufanikisha hilo
Tanzania aliyetuloga, anatutesa sana, hatuwezi kufahamu hata hujuma za wazi zilizosukwa chini ya chama Tawala, fedha zinazotumika ili kukisuka hiki chama, kwa namna hiyo hiyo, pesa hizo zinashindwaje kuifanya Tanzania kuwa na uchaguzi wa danganya toto?
Zitto na wengine wote wenye kujielewa, mkiamua kupoteza tena miaka mitano ijayo kama mlivyokaa zaidi ya miaka kumi nje ya ulingo kuipigania nchi yenu kwa kukataa hizi rafu za uchaguzi?
Ieleweke hivi, uwapo CCM imeamua kwa dhati kutengeneza upinzani feki, enyi wana CUF, UDP, ACT na wengineo, tegemeeni hasara tupu kwenye uchaguzi huu
Mlale unono
Mkuu, hili mbona lishaanza kuungwa mkonoKama kweli watu watajitokeza kuunga mkono ushenzi huu unaoongozwa na wahuni CCM basi maneno ya mzee kenyata kwamba Taifa hili lina maiti yaani wafu wanaotembea yatatimia.