Mimi ndoa ilinipotezea muda wangu, iliniacha na Maumivu na kilema cha Maisha yangu

Mimi ndoa ilinipotezea muda wangu, iliniacha na Maumivu na kilema cha Maisha yangu

Ndg mwandishi pole sana kwa uliyoyapitia, ila sasa natumaini uko mzima na akili yako imerejea vizuri ndio maana hata ukaweza kueleza mkasa uliokumbana nao..

Lakini nna neno kidgo kwako, kama hutojali naomba upost picha ya hiyo miguu yako ambayo walinyofoa vidole vyako...!!!!!
 
Ku deal na majini no rahisi kama wewe sio muislam!Hadi uasi ndio inakua rahisi!jina tu la yeshua linatosha!

Tatizo alikua muislam huwezi ku deal nayo hadi usome elimu ya kichawi iitwayo falak!

Na elim hii no ya wachache sana na ni shirki!
Nimejiuliza pia anasali sura zote za quran na majini yanamshinda? Ningewasha moto mpaka huyo baba angekimbia nyumba yake. Najifunika na damu ya yesu misukule inivae uwiii kwa kweli kina la Yesu lina nguvu.
 
Sawa ila si umejifunza kitu
Kwani imeisha? Na kama imeisha imeishaje? Swalehe alirudi?VP kuhusu Saida alirudi kwao?jee kuhusu baba na mama yake walikufa au wako hai?na jee vp kuhusu baba mkwe mchawi nae?majibu tsfadhali
 
Back
Top Bottom