Mwamba Moto
New Member
- Sep 9, 2024
- 1
- 1
Nimeaona Asante,. Ngoja nitulie nisome nowNimeweka na nimekutag ya jasusi teyar mbon
InjoyNimeaona Asante,. Ngoja nitulie nisome now
Nimejiuliza pia anasali sura zote za quran na majini yanamshinda? Ningewasha moto mpaka huyo baba angekimbia nyumba yake. Najifunika na damu ya yesu misukule inivae uwiii kwa kweli kina la Yesu lina nguvu.Ku deal na majini no rahisi kama wewe sio muislam!Hadi uasi ndio inakua rahisi!jina tu la yeshua linatosha!
Tatizo alikua muislam huwezi ku deal nayo hadi usome elimu ya kichawi iitwayo falak!
Na elim hii no ya wachache sana na ni shirki!
Natamani kujua hii story imeishaje Saida alirudi kwao?Ahaha naendelea ww tulia
Kwani imeisha? Na kama imeisha imeishaje? Swalehe alirudi?VP kuhusu Saida alirudi kwao?jee kuhusu baba na mama yake walikufa au wako hai?na jee vp kuhusu baba mkwe mchawi nae?majibu tsfadhaliSawa ila si umejifunza kitu