Mimi ni dereva natafuta kazi kwa mwenye gari ya Tax Mtandao (Uber, Bolt na nyingine)

Mimi ni dereva natafuta kazi kwa mwenye gari ya Tax Mtandao (Uber, Bolt na nyingine)

kgk dsm

New Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana JF jina langu napatikana Kivule Matembele ya Pili DSM, wilaya ya Ilala niko apa natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao almaarufu uber &bolt nk.

Nna lesen pamoja na Account ya tax mtandao, nina uzoefu wa miaka 5 kwenye kazi hii tangu nimeanza nina wadhamin ambao wanaweza kunidhamin mawasiliano yangu ni0758871707 au 0710491892

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom