Mimi ni dereva wa BOLT na UBER Natafuta gari ya hesabu

Mimi ni dereva wa BOLT na UBER Natafuta gari ya hesabu

village66

New Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
2
Reaction score
3
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii.

Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari.
Gari ya mafuta hesabu 150000.
Gari ya gesi hesabu 200000.
Ninapatikana kwa namba hizi.
0628192114.
0786094712.
 
Back
Top Bottom