mr mtenya
Member
- Apr 9, 2021
- 16
- 17
Habari.
Mimi ni dereva wa daraja la VIP (Grade II) natafuta kazi ya udereva. Nina umri wa miaka 32 na nipo Dar es Salaam.
Nina cheti cha udereva kutoka VETA na pia cheti cha Kidato cha Nne (Form IV). Nina uzoefu wa miaka 7 kwenye udereva, mtanashati, muelewa, na ninajua lugha ya Kiingereza vizuri. Pia nina rekodi nzuri ya usalama barabarani (sijawahi kupata ajali yoyote).
Kwa mwenye uhitaji wa dereva, tafadhali wasiliana nami kwa namba: 0659972797.