Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
560
Reaction score
845
Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari

Contact 0712046672
 
TRC wametangaza ajira mwisho tarehe 30 march kupitia utumishi fanya kuomba.
 
Back
Top Bottom