Mimi ni Genius wa Kugegeda Wanawake

Moja Kati ya wosia mama yake Mfalme Suleman , alimwachia ni huu

Mithali 31 : 2 - 3 " Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa?
Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?
.Usimalize nguvu zako kwa wanawake,
usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme. "
Shukrani mkuu😂
 
Jimalize kijana
 
MITHALI 6

28Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto,
Na nyayo zake zisiungue?
29Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake;
Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.
30Watu hawamdharau mwivi,
Akiiba ili kujishibisha, iwapo aona njaa;
31 Lakini akipatikana, atalipa mara saba;
Atatoa mali yote ya nyumba yake.
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
33Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;
Wala fedheha yake haitafutika.
34Maana wivu ni ghadhabu ya mtu;
Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi.
35Hatakubali ukombozi uwao wote;
Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.
 
Utakufa Vibaya wewe.... Nakuonea huruma

Pasaka ulizobakiza ni chache sana..
 


watu ambao hawana nguvu za kiume bwana wanapenda kujisifu
 
We juzi si ndiyo ulikuwa unacheza muziki na lile jimama pale ukumbini, na ukamla bila ndomu hahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…