Mimi ni Jamii

Deal28

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
96
Reaction score
114
Wahenga wanasema hivo ulivyo ni jamaii imetaka uwe hivyo, so chunga sana mazingira yanaweza kukutengeneza ama kukuharibu, kifikira muonekano hata tabia.
 
Mfano: Mimi muda mwingi sana katika maisha yangu, kwa takribani miaka 10 sasa, 95% ya muda wangu nautumia kazini. Hapo unataka kunaiambia nni Momo?
 
ulipo kazini kuna wafanyakazi wenzako, hiyo ni jamii pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…