Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano: Mimi muda mwingi sana katika maisha yangu, kwa takribani miaka 10 sasa, 95% ya muda wangu nautumia kazini. Hapo unataka kunaiambia nni Momo?Wahenga wanasema hivo ulivyo ni jamaii imetaka uwe hivyo, so chunga sana mazingira yanaweza kukutengeneza ama kukuharibu, kifikira muonekano hata tabia.
ila tusijisahau sana tuka live for jamii as wellWahenga wanasema hivo ulivyo ni jamaii imetaka uwe hivyo, so chunga sana mazingira yanaweza kukutengeneza ama kukuharibu, kifikira muonekano hata tabia.
ulipo kazini kuna wafanyakazi wenzako, hiyo ni jamii piaMfano: Mimi muda mwingi sana katika maisha yangu, kwa takribani miaka 10 sasa, 95% ya muda wangu nautumia kazini. Hapo unataka kunaiambia nni Momo?