Mimi ni Kijana wa Miaka 23 mwenye uzoefu wa Library, Natafuta kazi Kahama

Mimi ni Kijana wa Miaka 23 mwenye uzoefu wa Library, Natafuta kazi Kahama

D4k man

New Member
Joined
Jun 23, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Habari wakuu Mimi kijanana nipo kahama namiaka 23 natafuta kazi nina uzoefu na kazi ya library ata kaziyeyote yakulipwa kwa mwezi au wiki mshahara tunaelewana elimu form four asanteni
 
Mjomba, pambana ujifunze ufundi wa aina yoyote ile. Dunia ya leo haimpi nafasi ya kuajiriwa mtu "mwenye uzoefu wa Library" halafu ameishia kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom