Habari wakuu Mimi kijanana nipo kahama namiaka 23 natafuta kazi nina uzoefu na kazi ya library ata kaziyeyote yakulipwa kwa mwezi au wiki mshahara tunaelewana elimu form four asanteni
Mjomba, pambana ujifunze ufundi wa aina yoyote ile. Dunia ya leo haimpi nafasi ya kuajiriwa mtu "mwenye uzoefu wa Library" halafu ameishia kidato cha nne.