Mimi ni mdada natafuta mchumba

Husemi upo wp,naamin umri c tatzo kwngu nina 27yrs n I think we can make a gud couple coz npo ktk htaj pia nmemalza chuo last year with first dgree,r we gud?
 
hongera kwa uamuzi wako lakini ungetaja sifa zako na za mtu unayemuhitaji kwanza!
 
Aliye watuma humu jf sijui nani,hamjampata mnaye mtafuta ? kila siku natafuta mchumbaaa,mwanaumee..dah ! wanatafutwaga ivi kweli ?
 
Wanaumd ni deal mjini, wadada umri unasogea hujapata tu mchumba.
Ila kuolewa ni sheria, wasikilizen hao wadada na mpate jnc mtawasaidia
 
Ungejieleza vizuri ili ueleweke maana unajiita mama wa watoto wengi wengi wasije ogopa title
 
Hahaahha hawashikiki hawa wa mitandaoni.
Jiulize miaka yote hiyo hajapata ana matatizo gani?
Kutokupata haimanishi kwamba ana matatizo mkuu, itakuwa tumekariri vibaya, kama uko interested m- pm. Nafikiri you will know her better.
Just ni maoni tu mkuu
 
Aliye watuma humu jf sijui nani,hamjampata mnaye mtafuta ? kila siku natafuta mchumbaaa,mwanaumee..dah ! wanatafutwaga ivi kweli ?
Ngoja niangalie nipo jukwaa gani? ............. Mmh Love connect.
Gefu, wacha walitendee haki jukwaa bana!
 
Ngoja niangalie nipo jukwaa gani? ............. Mmh Love connect.
Gefu, wacha walitendee haki jukwaa bana!

Ooooh ! gosh.. kumbe eneo lao la kujidai,haya bana waache watafutane ila naona imekaa kimagumashi zaidi kuliko uhalisia..au ndo changamsha baraza.... Zatara I am saying this coz when it comes to mchumba,to me it sound a very serious thing,coz uchumba is one step to ndoa ..!
 
hahahaahah, Gefu... Vijana siku hizi wana difinition za ki-digital digital
 
hahahaahah, Gefu... Vijana siku hizi wana difinition za ki-digital digital
hahhhhahhh... ! we are now reading the same page ! ntaanza kuchangia post za kutafuta MCHUMBA.. teh ..tehhhe !
 
Kutafuta mwenza siku hizi inatangazwa kama tangazo la kuuza kiwanja au gari.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…