Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Baada ya kutumika vya kutosha sasa ndo unakuja hapa jamvini kuwashika haya makubwa jamani!
Kutumika sio issue Chibolo kwani kidigitali wanasema demu wako mpya ni used kwa mwingine. The same applies to you men!
Cha muhimu ni kutumika responsibly kama ambavyo ilivyo kwako.
Jambo la msingi ni kumtakia kila la kheri mama watoto wengi ili apate kutimiza haja ya moyo wake.
Last edited by a moderator: