Mimi ni mdada natafuta mchumba

Mimi ni mdada natafuta mchumba

Baada ya kutumika vya kutosha sasa ndo unakuja hapa jamvini kuwashika haya makubwa jamani!

Kutumika sio issue Chibolo kwani kidigitali wanasema demu wako mpya ni used kwa mwingine. The same applies to you men!
Cha muhimu ni kutumika responsibly kama ambavyo ilivyo kwako.
Jambo la msingi ni kumtakia kila la kheri mama watoto wengi ili apate kutimiza haja ya moyo wake.
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida ,Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye hitaji kama langu .Asanteni

Mie huyu hapa kama bado.
 
Kutafuta mwenza siku hizi inatangazwa kama tangazo la kuuza kiwanja au gari.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ni huko tu mlichelewa kuanza huku marekani na kule ufaransa matangazo yalianza zamani.
 
We mama watoto wengi,hebu chagua baba wa watoto wachache then mkubaliane kuunganisha koo zenu mbili.
 
Back
Top Bottom