Mko poa
Mimi nipo humu tokea January 13 2014.mpaka leo ila sina zaidi ya post 7 mimi ni nani?View attachment 1414811
Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu UTAJIBU?Nikionaga ID kama yako PM sijibu....nasoma nakuacha hapo hapo kwa sababu asilimia nyingi zinakuwaga fekero
Ni hulka tu... hata mimi ID yako ni tangu 2014 na hakuna ya ziada ila sina post wala comments nyingi.Backup ID
Nikionaga ID kama yako PM sijibu....nasoma nakuacha hapo hapo kwa sababu asilimia nyingi zinakuwaga fekero
Hili ni fyekero
πππKama hujijui we ni nani sisi ndo tutajua?
Mwali, je ukiiona PM yangu..??Nikionaga ID kama yako PM sijibu....nasoma nakuacha hapo hapo kwa sababu asilimia nyingi zinakuwaga fekero
Mkuu, naona hauja mpa heshima yake kama alivyo jiita mkongwe sana
πππyako fresh....me nilimaanisha unaweza kuwa ID ya mwaka 2013 halafu ina reaction score hata 200 hazijafika, msg 100 hamna....kama hizo napata kwikwi kujibu
Ahsante mwali, naona hii bahati ni yangu na sitaki kuilazia dam.[emoji3][emoji3][emoji3]yako fresh....me nilimaanisha unaweza kuwa ID ya mwaka 2013 halafu ina reaction score hata 200 hazijafika, msg 100 hamna....kama hizo napata kwikwi kujibu
You are missed baby sisyNaunga mkono sis