Mimi ni mfuasi mtiifu wa United States of America lakini naisikitikia Afghanistan

Sasa ishu ya ushoga imetokeaje Hapa kama wewe siyo mjinga?? Mawazo ya ushoga yametawala akili yako muda wote unauwaza tu..
Kwa sababu kama ww mawazo yako yalivyo kuwa Waislam ni magaidi au kwakua nyani haoni .....
 
Hahaha....yamewakuta!!
Sasa USA watafuta pahala pa kuwapeleka troops zao kwa sababu wakirudi US watakuwa hawana kazi na most of them are fucked up in their heads utaona sasa crimes in states
Bila shaka umefananisha us troops na JKT
 
W
Wapo Ug saivi
 
Hapahapa Dar hamna vita ila ukitangazwa uzushi kua JNIA kuna ndege zinawapeleka watu bure Marekani na Canada basi uwanja wote utafurika hata runway haitapitika sembuse kwenye nchi yenye milio ya risasi kila siku.
Hahahahahaha umesema kweli
 
Kilichotokea Vietnam it's quit differ kufananisha na kabul

Vietnam war haikuwa na baraka toka nyumbani haikuwa na support toka us
Gaidi huyo unaemtii na kujisifu eti mi mtiifu!! Hivi we nchi yako ivamiwe na nchi nyengine halafu mukaunda kikundi kutafuta Uhuru na kumpinga yule mgeni halafu we unaitwa gaidi, hivi unaakili kwel we wa Afghanistan unawaita magaidi na mmarekani atakua nani!!,
 
Kizazi cha sasa cha kiarabu hakina mpango namambo ya sharia law
Nenda Dubai kaongee na mtoto wa kiarabu hata ndani ya gari yako ndani alaf kioo kisiwe na tinted yaani wakuone kama bongo vile alaf uje unipe mrejesho
 
Jamaa wamefungulia magereza nyingi zilizokuwa na watuhumiwa wa ugaidi,
Hakutakuwa na Amani
Ila hao walioonekana magaidi ni kwa upande wa marekani ambayo ndio serikali iliyofurushwa, gaidi sasa hivi inatumika kama mpingaji wa Mambo yako tu kwahiyo hao we ukiwaita magaidi maana yake we mfuasi wa marekani Ila kwao wao ni wapambania Uhuru wenzao
 
Mkuu gaidi ni hata wao kwa wao , hao raia wanaotaka kuwa wakimbizi kwenye nchi nyingine wanawaogopa Taleban
 
Marekani imekubali kuwabeba raia waliolazimisha kupanda ndege
Imewatafutia hifadhi uganda imekubali kuwalipia gharama zao zote tena bado unasema marekani ni magaidi
 
Marekani imekubali kuwabeba raia waliolazimisha kupanda ndege
Imewatafutia hifadhi uganda imekubali kuwalipia gharama zao zote tena bado unasema marekani ni magaidi
 
Marekani imekubali kuwabeba raia waliolazimisha kupanda ndege
Imewatafutia hifadhi uganda imekubali kuwalipia gharama zao zote tena bado unasema marekani ni magaidi
Hata hapo zaman kwenye nchi zetu zilivyokua zinatawaliwa viongozi ndio walikua wanakula na wazungu wapo waliotokea kupinga hayo Mambo ndio walikua wanafungwa na wengine kuuawa tofauti hapo zamani huo msamiati wa gaidi ulikua haujabuniwa tu lakin kinamandela nao ndio walikua magaidi wa enzi hizo , haya Mambo haya Kama hauwazi kwa kutumia kichwa huwezi kuelewa kamwe utabaki kua Kama shabiki wa mpira kumtukana mchezaji pale kakosaje kufunga wakati ukiambiwa upige hata Dana Dana 3 tu huwezi
 
Marekani imekubali kuwabeba raia waliolazimisha kupanda ndege
Imewatafutia hifadhi uganda imekubali kuwalipia gharama zao zote tena bado unasema marekani ni magaidi
Sasa kama Imewaleta Uganda mkuu huyu ukanda wetu baada ya miaka mitano nadhani kutaanza kuzuka makundi ya kigaidi. Na ni kwanini wamekataliwa huko Qatar? Na Uganda wamewapokea hivyo wanakaa wapi? Kwenye kambi za wakimbizi?? Kwa hiyo makwao hawarudi tena? Kama mtu ameacha familia inakuwaje? Haya maarabu vip yamerukwa na akili nini..!!
 
US troops wanaorudi ni ADDICTS
Uraibu unawtesa.. jobless inawangoja.. homeless ndiyo inawatandikia barazani...
Hopeless move..Wameshindwa na hawatashinda ng'oooo
Umeandika kama mko kijiwe cha kahawa na kitoto mno narudia tena usifananishe us troops na JKT.kwa uandishi wako ni dhahiri hujui chochote kuhusu america
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…