Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,407
- 20,572
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piganieni HAKI kwenye nchi yenu.wabongo bana yakwenu yanawashinda mnajifanya mna uchungu na ya Afghanistan.falcon mombasa wewe ni great thinker. Umeongea ukweli wa Mungu.
Taliban huwezi kuwatenganisha na magaidi, maharamia ila kwa kuwa wanataja uislamu kuna watu wanawaona wa maana.
Wananchi wanadandia ndege ili kuwakimbia hawa magaidi halafu kuna jitu lipo BUZA KWA MPALANGE linajifanya linaijua sana dini lina support mateso ya waafghanistan.
Kwani kuna jukwaa la ccm au chadema humu jf? Au jukwaa la Taliban au usa??Hili sio jukwaa la ccm au chadema
Waafghanistan hawataki demokrasia,kama wangekuwa wanataka demokrasia wasingewaachia watalbani wachukue nchi kizembe vile, jeshi linaandaliwa zaidi ya miaka kumi halafu linapigwa chini ya wiki mbiliHabari za siku nyingi
Hakika tumepata kujionea kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwenye ardhi ya Afghan
Kwa hali ilivyo pale asia ya kati ni dhahiri sasa tujiandae kushuhudia matukio makubwa ya ugaidi zaidi pengine kuliko hata ilivyowahi kutokea
Taliban wao walipokuwa wanapigana kuichukua tena ardhi ya Afghan walikuwa wanashirikiana vikundi washirika vya kigaidi au vya kimujahedeen kufika malengo yao
Sasa Taliban imepata ilichokuwa inakitaka na ndio kipindi hiki hiki ambacho Taliban wanataka kuudhihirishia ulimwengu kuwa wao sio magaidi kama dunia ilivyoamini
Swali je Taliban itajiweka upande upi ambao vikundi washirika wake wataridhika na mamlaka mapya ya Taliban
Tumeona Taliban imefungulia magereza yote yaliyokuwa na wafungwa wa ugaidi
Je Taliban itaweza vp kuzuia watu Hawa wasifanye ugaidi
Je Taliban itakubali kugawana maslah na vikund vingine vya kimujahedeen na Kama alshabab ambapo kwenye uso wa dunia Taliban inajaribu kutuonyesha wao ni malaika
Nasisitiza marekani haijashindwa kuzuia Taliban marekani imeamua kuudhihirishia ulimwengu umuhimu wa demokrasia kwa kuachia waafghan kufanya wanachokitaka
Karibuni
Nimewamiss sana karibu miaka miwili mitatu hii nimekuwa kimya sana jamiiforums
Wivu mbaya Sana ,,kuhodhi nchi ya wenzio ndio ugaidi Wenyewe .. Marekani Hana rekodi Nzuri ya kuwa msimamizi mkuu wa amani zaidi ya kuwa mvulugaji tu.Nasisitiza marekani haijashindwa kuzuia Taliban marekani imeamua kuudhihirishia ulimwengu umuhimu wa demokrasia kwa kuachia waafghan kufanya wanachokitaka
Nimecheka Sana,,,mwarabu anaroho ngumu Sana ,,,yaan pamoja na drone zote za mmarekani lkn wapi,,nchi imechukuliwa ndani ya dakika 45 tu.Kumbe kuna watu wanaumizwa na mzee Mullah kujitwalia nchi yao,ulimwengu ilipofikia sasa ni kuongea kwa AK47,hii itawafanya wababe wa Dunia kubalance ubabe wao.
Aibu kuachia demokrasia itamalaki?'Super power' kapata aibu.
Kama hawataki demokrasia kwanini wameonekana kukimbilia marekani?Waafghanistan hawataki demokrasia,kama wangekuwa wanataka demokrasia wasingewaachia watalbani wachukue nchi kizembe vile, jeshi linaandaliwa zaidi ya miaka kumi halafu linapigwa chini ya wiki mbili
Aibu kuachia'Super power' kapata aibu.
Sharia law ni sheria zisizokidhi mahitaji ya ulimwengu wa Sasa...Sasa hivi wanawake wa Afghanistan hawataruhusiwa kufanya chochote zaidi ya kukaa ndani na hata wakitoka nje basi hawaruhusiwi kutoka wenyewe.hawaruhusi kufanya kaz yoyote ile si ajabu hata elimu Kama watapata inavyotakiwafalcon mombasa wewe ni great thinker. Umeongea ukweli wa Mungu.
Taliban huwezi kuwatenganisha na magaidi, maharamia ila kwa kuwa wanataja uislamu kuna watu wanawaona wa maana.
Wananchi wanadandia ndege ili kuwakimbia hawa magaidi halafu kuna jitu lipo BUZA KWA MPALANGE linajifanya linaijua sana dini lina support mateso ya waafghanistan.
Swali la kujiuliza ndio umeliuliza sasa.kwakweli tutegeme new era ya ugaidi vikundi vya ugaidi vitasambaa kila sehemuKama hawataki demokrasia kwanini wameonekana kukimbilia marekani?
Hapo sasa mkuu nchi yao gaidi ccm wameshindwa wanawaza ya talibanPiganieni HAKI kwenye nchi yenu.wabongo bana yakwenu yanawashinda mnajifanya mna uchungu na ya Afghanistan.
Umri unaenda mkuu ukija humu nako watu wengi wanapenda kupost utoto basi ndio kabisaa.mkuu Ulipoteaga wapi?
Labda haufahamu marekani imekwenda pale kufundisha jeshi la Afghanistan liwe imara ili liweze kupambana na vikundi vya ugaidiWivu mbaya Sana ,,kuhodhi nchi ya wenzio ndio ugaidi Wenyewe .. Marekani Hana rekodi Nzuri ya kuwa msimamizi mkuu wa amani zaidi ya kuwa mvulugaji tu.
Marekani iliondoka muda mrefu sana ...inaonyesha hufuatilii kinachoendelea AfghanistanNimecheka Sana,,,mwarabu anaroho ngumu Sana ,,,yaan pamoja na drone zote za mmarekani lkn wapi,,nchi imechukuliwa ndani ya dakika 45 tu.
Marekani iliondoka muda mrefu sana ...inaonyesha hufuatilii kinachoendelea AfghanistanNimecheka Sana,,,mwarabu anaroho ngumu Sana ,,,yaan pamoja na drone zote za mmarekani lkn wapi,,nchi imechukuliwa ndani ya dakika 45 tu.