Mimi ni mfuasi mtiifu wa United States of America lakini naisikitikia Afghanistan

Umeandika kama mko kijiwe cha kahawa na kitoto mno narudia tena usifananishe us troops na JKT.kwa uandishi wako ni dhahiri hujui chochote kuhusu america
Ex marines na contractors wa US army wote wanajulikana hatma zao...
Wewe kasafishe toilets zao...kazi hiyo unaweza sana..!!!!!!!!
falcon mombasa ninachokijua kuwa USa niwaharibifu na maGAIDi makubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…