Mimi ni mfuasi wa Ruge

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Jamaa anastahili pongezi kwa jinsi alivyobuni namna ya kuzitangaza fursa za nchi yetu kwa watu. Sijawahi kuona kitu kama hiki kinachoendeshwa sasa na Clouds FM. Yaani watu wamehamasika na kuelewa kwa dhati kabisa kuwa hii nchi ina nafasi nyingi sana ambazo mtu anaweza kuzitumia na kujiendeleza kimaisha. Tungekuwa na vijana kama 10 hivi wenye upeo kama wa Ruge tungekuwa mbali sana.
 
Ngoja tuamke vizuri!
 
unamponda madam mchovu na kibonde leo unamsifia ru gay. hzo fursa za kumtbu ray c then ampe papuchi au kumuajiri zamaradi na ale nyapu? kujifanya tht kituo cha yatima kumbe anawagonga mademu(God forbid kama si hadi wanaume). kama ni hzo fursa sawa!
 
Nonsense...fikiria upya
 
Mzee umemaliza yote,
Thanks
 
huwa mnakuja kupima upepo???

[h=3]Clouds kumshusha Rick Ross au Nick Minaj.[/h]Started by Radhia Sweety, 17th September 2012 12:08

[h=3]Zamaradi wa Clouds kashajifungua?[/h]Started by Radhia Sweety, 20th June 2012 11:21

[h=3]Kibonde afungua baa na stationery[/h]Started by Radhia Sweety, 21st February 2012 15:30

[h=3]Gerald Hando apendekeza JF ifungiwe[/h]Started by Radhia Sweety, 12th June 2013 09:04

[h=3]Adam Mchomvu unaboa bana[/h]Started by Radhia Sweety, Yesterday 05:39

[h=3]Mimi ni mfuasi wa Ruge[/h]Started by Radhia Sweety, Yesterday 06:06
 
doo ruge mutahaba.....furusa za kuwagonga watoto wa tht,kumzalisha taken two,kumfukuza kazi bwana ake lady komando kisha shediii,furusa lulu kutuambia subiri sanaa
 
doo ruge mutahaba.....furusa za kuwagonga watoto wa tht,kumzalisha taken two,kumfukuza kazi bwana ake lady komando kisha shediii,furusa lulu kutuambia subiri sanaa

Kajifunze Kiswahili wewe. Furusa ndiyo nini?
 
Fursa ni kufua boksa za Diamond.

naona kila siku unachanganya watu mimi sio huyo unaemuongelea

ile ni HAMASA sio fursa.....

Fursa ni kuwagonga madem wa kila mkoa
wanaoenda waambie wakumbukage kwenda kutunza watoto wanaowaachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…