Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Jamaa anastahili pongezi kwa jinsi alivyobuni namna ya kuzitangaza fursa za nchi yetu kwa watu. Sijawahi kuona kitu kama hiki kinachoendeshwa sasa na Clouds FM. Yaani watu wamehamasika na kuelewa kwa dhati kabisa kuwa hii nchi ina nafasi nyingi sana ambazo mtu anaweza kuzitumia na kujiendeleza kimaisha. Tungekuwa na vijana kama 10 hivi wenye upeo kama wa Ruge tungekuwa mbali sana.