DrMatumbili
New Member
- Jun 1, 2025
- 2
- 6
Duh ! ππWe ni CCM au CHADEMA?
Samahani sipo Chedema wala CCM Mimi ni M-Tanzania.We ni CCM au CHADEMA?
Samahani Hakuna dunian Mtandao tukufu elewa neno 'TUKUFU'Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo?
Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa mengi kuhsu afya zetu na mambo mengine muhimu asanteni sana .
Karibu sana, shart la kwanza kukupokea hakikisha unaelewa maana ya neno GWAJIMANIZATION na Shart la pili hakikisha unaelewa ponjolo wa kinondoni ndo nani?. Ni hayo tu mengine utajifunza mdogo mdogo.Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo?
Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa mengi kuhsu afya zetu na mambo mengine muhimu asanteni sana .
ππππDawa ya kuongeza Inches ipo?
Cc Mshana.Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo?