Christopher Adamu Kibona
Member
- May 2, 2017
- 6
- 2
Jamani mimi ni mgeni humu ndani hivyo nahitaji ukaribu wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaahebu leta vyeti vyako kwanza maana hili jukwaa silo haujui kusoma.?
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]fafanua ukaribu wa namna gani..
karibu uwe mvumilivu humu
Kweli aisee, alidhani FB.Karibu ila ume ingia choo cha mchina kaka ungeenda jukwaa jingine sio hili
Utokea wap?Jamani mimi ni mgeni humu ndani hivyo nahitaji ukaribu wenu.