azariah davis
Member
- Oct 18, 2020
- 91
- 72
Asante Mkuu....Karibu
Asante sanaKaribu maisha ni haya haya tu
Mambo mrembo..?Karibu Sana
Take the very first LIKE[emoji818] from Jr![emoji8]Mimi ni mgeni kaktika platform hii lakn nimeanza kuitumia mda kidog kupitia Google..Jamii forums nashukur sana mmebadilisha maisha yangu na mitazamo yangu mbali mbali..
Naomba mnikaribisheee kwa shangwe na vigelele (Jinsia KE).....na Miungurumo mingi kwa wanaume
Kuna machaka sio size yako....Mambo mrembo..?
poa sanaMambo mrembo..?
Mshana Jr bwana ye ni kupiga bit watu umeonaje uyo dada kwanza au unataka kusema ni saiz ykoKuna machaka sio size yako....
Nawe karibu yaonyesha si mwenyeji kihivyo!poa sana
Unawazaga dhambi tu kila siku! Nilishakuambia acha kukalili.😅Kuna machaka sio size yako....
Shukran mkuuuTake the very first LIKE[emoji818] from Jr![emoji8]