azariah davis
Member
- Oct 18, 2020
- 91
- 72
Mimi ni mgeni kaktika platform hii lakn nimeanza kuitumia mda kidog kupitia Google..Jamii forums nashukur sana mmebadilisha maisha yangu na mitazamo yangu mbali mbali..
Naomba mnikaribisheee kwa shangwe na vigelele (Jinsia KE).....na Miungurumo mingi kwa wanaume
Naomba mnikaribisheee kwa shangwe na vigelele (Jinsia KE).....na Miungurumo mingi kwa wanaume